Pages

Friday, August 31, 2012

KIJIJI CHA WAVUVI KURASINI

 Katika mihenyo leo nimeangukia kurasini kijiji cha wavuvi huku nyama hamu tu.


Tuesday, August 28, 2012

Thursday, August 23, 2012

MAANDALIZI YA OLIMPIK 2016 -TEMEKE

 Baada ya kuona hatujarudi na medali hata moja katika olimpiki ya mwaka 2012 tunaanda vipaji mapema, wanaohusika na kazi kwenu vipaji kama hivyo vinahitaji mwendelezo




Balaa lote hilo hapo juu amefanya huyu dogo hajafikisha hata miaka 10 tunazipoteza medali hivihivi, na hii hali hajafundishwa utundu wake akiingia katika mafunzo tafakari kisha.........



TOBO BAO

 Tobo bao huu mchezo masharti yake usipite katikati ya mguu na ukipata bahati   mbaya mpira umepita inabidi utafute mjengo wa umeme uushike la sivyo hayo makofi utakayopigwa na wenzako we achaa tu
 Kila mtu anaziba miguu yake mpira usipite
Mchezo unaendelea

MPAKA DAKTARI ASEME

 tuna tabia ya huku kwetu hatuli matunda mpaka daktari akwambia kula sana matunda na maji mengi lakini sokoni kwa sasa matunda yamejaa mpaka yanaharibika hamna mnunuaji.
 Kama hapo chungwa moja Shs. 50 jumla Shs. 25 soko la Tandika na Stereo
Ushindwe wewe mwenyewe zagazaga kibao hizo

Wednesday, August 22, 2012

KIFUNDO KIMOJA

Alikutwa amedondoka kwenye mtaro baada ya kuwa bwiiiiiiiiiiii

MCHANA MWEMA

 Madereva wa pikipiki kituo cha Temeke wakijipatia chakula chao mchana
Kitu cha Nature (Ugali)

Tuesday, August 21, 2012

KOLOKOLO

 Baadhi ya vibanda vilivyokuwepo katika uwanja wa Temeke Boy uwanja wa  sikukuu ambao kwa sasa michezo yote hamna zaidi mchezo huu tu wakolokolo
Vibanda vinavyojengwa kwa sasa ni vya kolokolo tu, hamna sarakasi, ngoma, wala michezo yoyote inayohusu watoto

MASKANI YA GOOD HOPE-TEMEKE

 Maskani kongwe kwa Temeke Good Hope iliyopo Mtaa Madenge na Mwaka Temeke ambapo kulikuwa kuwa na night club ya Luxury Pub ambayo imefungwa baada ya kutokea maafa kipindi cha nyuma.
 Fadhili Mdeng`u mwenye kanzu nyeupe akiwa na baadhi ya wadau katika maskani hiyo
 Sokolo Nyika na Shabani Kideo
Jengo la Good Hope

BARAZA LA IDD VIWANJA VYA MWEMBE YANGA

 Waislam waliohudhuria katika baraza la Idd lililokuwepo katika viwanja vya mwembe Yanga ambapo maada kubwa ilikuwa kuhusu suala la sensa, kadhi na katiba.
 Kutayba sacos walikuwepo katika kuhamasisha waislam waingie katika sacos zao ambazo hazina riba na zenye kufata maadili ya kiislam.

 Sheikh Basaleh akitoa maelekezo kuhusu suala la uteuzi wa kadhi

 Prof. Ibrahim Lipumba alikuwepo katika hafla hiyo

Sheikh Issa Ponda akifunga jukwaa kwa kutoa maelezo ya kina kuhusu sensa

MAKOLOKOCHO YATOA MSAADA

 C.E.O wa makorokocho Loveness Love akiwa na fulama inayohamasisha uchangiaji
 Dito mwanamuziki wa kizazi kipya alikuwepo katika kuhamasisha utoaji wa misaada kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu
 B12 na Diva Loveness Love M
 Baadhi ya watoto waliokuwepo katika kituo cha watoto ya tima kilichokuwepo Kigogo ambacho kinaitwa New Ophans

 Mama wa mlezi wa kituo hiko cha New Ophans
Ben Pol na Mwasiti walikuwepo katika utoaji wa msaada huo

SWALA YA EID MSIKITI WA QADIRIYAH-TEMEKE

 Waumini wa wakijiaanda na sala ya Eid iliyoswaliwa katika msikiti wa Qadiriyah -Changani
 Baadhi ya waumini waliokuwepo katika swala ya Eid
 Imam wa Msikiti wa Qadiriyah Shkh Ally akitoa dawa
Waumini wa dini ya kiislam wakipeana mkono wa Idd

 Sele Vipodozi
 Kocha wa Timu ya kikapu Thunder wariors Mohamed Mbwana kushoto akiwa na Husein Sulle
Jabir Saleh Mtangazaji wa Times Fm akiwa na Hamis Muhanzira