Nyumba moja iliyopo maeneo ya Mtoni Equator imeungua moto baada ya mshumaa kuanguka kwenye godoro.
Hii hali ilivyokuwa kwa ndani baada ya moto kuzimwa
Eneo la mabanda ya uani
 |
Eneo la jikoni lilivyokuwa hakuna kilichoweza kusalimika |
Baadhi ya wapangaji wakijadiliana jambo na mwenye nyumba mwenye flana nyekundu modest Kilindo (Kipala) baada ya nyumba hiyo baada ya nyumba hiyo kuungua.
No comments:
Post a Comment