Hili ni eneo maarufu sana kwa Temeke Mikoroshini Gusta hapa palikuwa hatari enzi hizo mwisho kutembea ilikuwa saa 12 baada ya hapo unatafuta lawama na watu.
Ila hali kwa sasa shwari unaweza tembea mda wowote na mabadiriko yapo
Na biashara zinafanyika
No comments:
Post a Comment