Pages

Saturday, July 28, 2012

YANGA BINGWA KAGAME

Mabingwa watetezi wa kombe la Kagame (Cecafe) Yanga wameweza kutetea vizuri ubingwa katika fainali ya kusisimua iliyochezwa  uwanja wa Taifa, Temeke Dar es salaam
Goli la kwanza la Yanga lilifungwa na Hamisi baada ya kuibia pasi iliyorudishwa nyuma na beki wa Azam, ubunifu wa Rashid Gumbo, Haruna Niyonzima, katikati ulifanya kuweza kuliteka duara, na kuumpa wakati mgumu Salum Abubakar Sure Boy kuwa katika wakati mgumu, Dakika za majeruhi Said Bahanuzi aliweza kuzima ndoto za Azam baada ya kufunga goli la pili baada ya mabeki wa azam kwenda kushambulia hadi mpambano unamalizika Yanga 2-Azam 0

Friday, July 27, 2012

UFUNGUZI WA OLIMPIKI LONDON USIKU HUU

LIVE: Olympics 2012 Opening Ceremony... follow the stunning action and pictures as London welcomes the world tonight

Wonderful: The view from above is awe inspiring

Geese bustle on to the turf now next to a giant water wheel

Good view? Fans wait outside the the ground. Hopefully they all have tickets...

'Dida' eyes first silverware



Azam FC goalkeeper Deo Munishi 'Dida' is looking forward to winning his first silverware since joining the Ice-cream makers from Mtibwa Sugar this year.
Azam FC have reached the final of this year’s Cecafa Kagame Cup which will be played on Saturday at the National Stadium, and the 23 year-old Goal-keeper believes that his side can defeat holders Yanga.
“It has been a long journey for us in this year's tournaments. We have had good preparations, and also Unity in the team. The Coach (Stewart Hall), has been very kind and influential, he has done a great job for us reaching where we are now,” Dida told SuperSport.com.
“Our preparations are good, there is a huge competition in the team - it needs everyone to work very hard to get a place. And the players are selected regarding on the performances,” he added.
“I'm looking forward to my first silverware, I will be very happy to win the cup. It will be a Great history for the club, first on winning in our first appearance and secondly against local rivals Yanga. It will be a remarkable day.”
“I call upon all supporters to come out and cheer us on Saturday, and continue giving us more strength to fight. And we will try our best not to let them down.”
This is Azam FC's first appearance in the tournament, and they are looking forward to make history by winning it in their debut.
Last year’s final saw Yanga beat bitter rivals Simba 1-0 in the final.
source: supersport

NYUMBA YAUNGUA KWA MOTO

 Nyumba moja iliyopo maeneo ya  Mtoni Equator imeungua moto baada ya mshumaa kuanguka kwenye godoro.
 Hii hali ilivyokuwa kwa ndani baada ya moto kuzimwa
 Eneo la mabanda ya uani
Eneo la jikoni lilivyokuwa hakuna kilichoweza kusalimika
Baadhi ya wapangaji wakijadiliana jambo na mwenye nyumba mwenye flana nyekundu modest Kilindo (Kipala) baada ya nyumba hiyo baada ya nyumba hiyo kuungua.

Thursday, July 26, 2012

VIJANA (MDAHALO WA VIJANA)WATOA MAPENDEKEZO YA KUBORESHA SHUGHULI ZA MTANDAO WA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE.

Vijana kutoka wastani wa kata 10 walikutana katika kikao cha vijana katika ofisi ya Mtandao wa vijana manispaa ya Temeke kujadili namna ya kuendeleza shughuli ya mijadala ya vijana ambayo hufanywa 2 kila mwezi ili vijana kubadilishana uzoefu na ujuzi juu ya masuala yanayohusu vijana. Katika kikao tarehe hicho cha tarehe 21/7/2012 vijana walitoa mapendekezo juu ya namna ambavyo  changamoto na zinazokabili vituo zinavyodhoofisha utendaji wa kila siku wa vituo vya vijana.
1. Ukosefu wa uelewa kwa viongozi waliochaguliwa ngazi ya kata juu ya stadi za uongozi na kuhusu mwelekeo wa utendaji kazi wa mtandao wenyewe.Jambo hili limeonekana kudhoofisha kata zote.
2.Ukosefu wa ofisi kwa vijana ngazi ya kata hali inayowafanya kukaa kwenye baa na ofisi za CCM jambo linalowanyima fulsa ya ushiriki vijana wa vyama vingine.Mfano kat ya Buza
3.Viongozi wa juu wa mtandao kuto tembelea vituo imeonekana pia kuwa moja ya changamoto hizo.
4.Vituo vya kata kutokuwa na tija kwa vijana kwa kuwa kila wanapokuja hakuna kitu kinachoshikika.
Mapendekezo juu ya nini kifanyike.
  • Kutolewa kwa mafunzo kwa viongozi na wanachama wa vituo vya kata.mfano mafunzo ya ujasiriamali na stadi za maisha ambapo mkazo zaidi uwepo kwa vijana kujifunza kazi za mikono,ubunifu na ujuzi wa kazi za kuingiza kopato kwa vijana.
  • Stadi za uongozi na wajibu wa viongozi katika kusimamia vituo.
  • Mafunzo juu ya dira.madhumuni na na shughuli za TEYODEN ili kuwezesha viongozi na wanachama wa vituo kujua shughuli za mtandao kwa undani
  • Kuboresha mfumo wa mawasiliano kwa kutuma msg na kupiga simu kwa viongozi na wanachama wa vituo ili kuwapa taarifa kwa kila shughuli inayoendelea katika Mtandao.
  • Kuanzisha group ya mtandao kwenye face book ili kuwezesha upatikanaji wa taarifa kwa vijan a wanaoweza kupata taarifa hizi kwa haraka kupitia mtandao.
Programu ambazo zinatarajiwa kufanyiwa kazi kwa kipindi kijacho.
Uendeshaji wa mafunzo kwa vijana hasa katika maeneo ambayo wameyapendekeza lakini pia kwe ye eneo zima la utendaji na uboreshaji wa kituo cha vijana  ngazi ya kata.
Utoaji wa taarifa za kazi kwa kila mwezi ili kusaidia kubuni mipango na miradi ya TEYODEN kwa kipindi kijacho.

Vijana wawakilishi wa vijana kutoka kata za Manispaa ya Temeke wakiwa katika mjadala wa pamoja katika ofisi za TEYODEN.

Vijana wakifuatilia kwa makini maelezo ya mratibu wa mdahalo wakati wa kikao cha vijana cha kituo cha vijana ofisi ya makao makuu ya TEYODEN.

MBWIGA NA NASH EMCEE

NASH EMCEE AKIWA NA MBWIGA WA MBWIGUKE TAIFA KWENYE KOMBE LA KAGAME,YANGA VS APR!HAHAHHAHAHAHAAHA!MZEE WA UDAMBWI DAMBWI NA UMATE MATE! KAMA ANAPIGA JAMAA ACHANA NAE

Monday, July 23, 2012

DIWANI AFARIKI GHAFLA

Diwani wa Kata ya Mianzini iliyopo Mbagala Charambe jijini Dar es Salaam, Cesylia Macha, amefariki dunia ghafla wakati alipokuwa akizungumza na wajumbe wa kata hiyo
Diwani huyo alianguka juzi katika ofisi za CCM eneo la Kibonde Maji akwia katika mazungumzo na wajumbe wa kamati ya siasa wa kata hiyo na alikimbizwa Zahanati ya Zakhiem kupatiwa matibabu na alifariki akwia njiani kuelekea huko.

Imedaiwa diwani huyo alikuwa amesimama wakati alipokuwa akifanya mazungumzo hayo na kabla hajakaa kwenye kiti alianguka ghafla

Kifo hicho kimethibitishwa na Mwenyekiti wa kata hiyo Bw. Hakika na kusema walipomfikisha hospitalini hapo wakati wakiwa katika vipimo daktari alisema alishafariki dunia

Amesema maziko ya diwani huyo yanatarajiwa kufanyika leo saa 10 alasiri nyumbani kwake

Akitoa kwa kifupi historia ya marehemu alifafanua kuwa - Diwani huyo alijiunga na CCM mwaka 1977.

Mwaka 2000 aliamua kugombea ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Charambe na ujumbe wa kamati ya siasa ya kata na kushinda nafasi zote hizo.

Mwaka 2005 aligombea udiwani wa Kata ya Charambe kupitia CCM na kuibuka mshindi

Mwaka 2010 aligombea udiwani kupitia CCM katika Kata ya Mianzini ambayo ilianzishwa baada ya kugawanywa kwa Kata ya Charambe ambako aliibuka kidedea

Friday, July 20, 2012

FAMA GUSTA-MIKOROSHINI

 Hili ni eneo maarufu sana kwa Temeke Mikoroshini Gusta hapa palikuwa hatari enzi hizo mwisho kutembea ilikuwa saa 12 baada ya hapo unatafuta lawama na watu.
 Ila hali kwa sasa shwari unaweza tembea mda wowote  na mabadiriko yapo
Na biashara zinafanyika

MINI SUPER MARKET


Tunashukuru huku kwetu maisha yanaenda unakaa barazani mahitaji yanakuja

DARAJA LA YOMBO LILIVYO

 Hii ndio hali ilivyo katika daraja la treni ya Tazara Yombo
 Kingo zote watu wametafuna

Tuesday, July 17, 2012

CHEGE APATA AJALI USIKU WA JANA

 
Chege amepata ajali maeneo ya Temeke Jana 16 July mida ya saa nne usiku. Ajali imesababishwa na mwendesha pikipiki ambaye alikuwa amelewa sana na ameiba pikipiki alio kuwa anaendesha.Mwenye pikipiki alifika hospitalini na kusema alikuwa akijitayarisha kuwasha pikipiki yake huku akiva koti kwa ajili ya kujizuia na baridi ndipo alipo sukumwa pembeni na mlevi huyo na kuibiwa pikipiki yake . Kwa mwendo wa kasi sana pikipiki hio iliingia barabarani bila kujali magari wala usalama. Chanzo ujanatz blog

Monday, July 16, 2012

MSWAHILI AACHI ASILI

 Mzee wa Darstockholm blog akiwa na Temekepamoja uwanja wa ndege wa Mwalimu nyerere Dar es Salaam baada ya kuchelewa ndege
kawa Mpole kijana kilichofuata nikurudi nyumbani na kupangiwa tarehe mpya ya safari

KICHUPA KIPYA


Walioziwahi flana hizo kushoto: Chidi, Adonaldo na Fadhil wakiwa dukani
Mfumo mpya wa Flana za Temekepamoja zimetoka kwa wote wanaohitaji tuwasiliane kwa namba hii 0652303512

Friday, July 13, 2012

BIBI CHEKA ft GODZILLA - GOOD BABA FELLA

TEMEKE NJE COPA COCACOLA



Mwanza imejipatia tiketi ya kucheza fainali ya michuano ya Copa Coca-Cola 2012 baada ya leo asubuhi (Julai 13 mwaka huu) kuilaza Temeke mabao 3-1 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam.
 
Hadi dakika 90 za kawaida zinamalizika timu hizo zilikuwa zimefungana bao 1-1. Mwanza walitangulia kufunga dakika ya tatu kupitia kwa Jamal Mtegeta kabla ya Temeke kusawazisha kwa penalti dakika ya 56 iliyowekwa wavuni na Baraka Ntalukundo.
 
Mabao mengine ya Mwanza yaliyoipatia tiketi ya kucheza fainali keshokutwa (Jumapili) yalifunga katika dakika 30 za nyongeza. Mtegeta alitikisa wazu dakika ya 94 kabla ya Dickson Ambundo kukwamisha la tatu dakika ya 108.
 
Nusu fainali ya pili itachezwa leo jioni ikikutanisha timu za Morogoro ambayo kwenye robo fainali iliibamiza Mara mabao 4-0 na Tanga iliyopata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma.

Thursday, July 12, 2012

SIMBA MABINGWA KOMBE LA URAFIKI




Felix Sunzu anaipatia Simba bao la kuongoza hapa uwanja wa Taifa kwenye dakika za mwanzo kabisa za mchezo.

Dk ya 45 Azam wanasawazisha goli hapa na mpira unaenda mapumziko matokeo yakiwa sare. Mcha Viali ndio mfungaji wa goli.

Kipindi cha pili kinaanza hapa timu zinashambuliana kwa zamu. 

Azam wanapata bao la pili John Bocco anaweka mpira kimiani.

Simba wanapata penati na Mwinyi Kazimoto anaenda kupiga penati hiyo. 

Ni goli - Mwinyi Kazimoto aka Failasufu anafunga bao la pili kwa upande wa Simba. 

Mpira umeisha na timu zimeanza kwenda kwenye hatua ya penati.

Penati zinamalizika kupigwa na Simba wanatoka na ushindi wa penati 4-3

ZAWADI TOKA

Tuesday, July 10, 2012

BEST FRIEND WAAHIDI KUFUNIKA

 Kundi la kucheza wilayani Temeke Best Friend wameahidi kuendelea kufunika katika mashindano yote yanayoandaliwa Dar es Salaam mmoja wa wahundaji wa kikundi hiko Shobigo amesema kwa sasa kundi hilo halina npinzani kwa Tanzania, Kwa sasa wanajiandaa na fainali za Dance mia
 Best Friend wakiwa katika moja ya mashindano ya Dance Mia ambao waliibuka washindi kwa wilaya ya Temeke.
Wakitangazwa washindi

SUPER MARIO

Thursday, July 5, 2012

AFARIKI KWA KUPIGWA

Huyu ni mwanachuo wa St. Agrey Mbeya ambaye amefariki baada ya kupigwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kuiba pikipiki