KUAJIRIWA NI HIARI NA SI LAZIMA
KILA MTU ANAYO HIARI YA KUAJIRIWA AU KUTOKUAJIRIWA KWA AIDHA KUJIAJIRI
MWENYEWE AU KUKAA BILA SHUGHULI YA KUFANYA. LAKINI UKIAMUA KUAJIRIWA
HUNA HIARI YA KUFANYA AU KUTOKUFANYA KAZI. HIVYO UKIIKUBALI AJIRA NI
LAZIMA
1-UWAHI KAZINI
2-UWE NA MPANGO KAMILI WA KAZI
3-UWE SEHEMU YA KAZI AU INAYOHUSIANA NA KAZI MUDA WOTE WA KAZI
4-UIFANYE KAZI YAKO KWA BIDII UAMINIFU UFANISI: NA
5-UMFAHAMISHE MKUU WAKO WA KAZI KAMA ITAKULAZIMU KUTOKUWEPO MAHALI PA KAZI
KAMA SIVYO ITAKUBIDI UANGALIE UPYA HIARI YAKO YA KUTAKA KUENDELEA
KUAJIRIWA. LA SIVYO MWAJIRI WAKO ITABIDI AKUSAIDIE KUFANYA MAAMUZI JUU
YA HIARI YAKO KWA AIDHA KUKUSIMAMISHA KAMA SI KUKUFUKUZA KABISA- HIVYO
ITUMIE HIARI YAKO IPASAVYO
Na.Harakati Zangu
3-UWE SEHEMU YA KAZI AU INAYOHUSIANA NA KAZI MUDA WOTE WA KAZI
4-UIFANYE KAZI YAKO KWA BIDII UAMINIFU UFANISI: NA
5-UMFAHAMISHE MKUU WAKO WA KAZI KAMA ITAKULAZIMU KUTOKUWEPO MAHALI PA KAZI
KAMA SIVYO ITAKUBIDI UANGALIE UPYA HIARI YAKO YA KUTAKA KUENDELEA KUAJIRIWA. LA SIVYO MWAJIRI WAKO ITABIDI AKUSAIDIE KUFANYA MAAMUZI JUU YA HIARI YAKO KWA AIDHA KUKUSIMAMISHA KAMA SI KUKUFUKUZA KABISA- HIVYO
ITUMIE HIARI YAKO IPASAVYO
No comments:
Post a Comment