Msanii wa kundi la Mkubwa na wanae Bi cheka hivi karibuni anatarajia kuzindua nyimbo yake mpya itakayojulikana kama Good Mkubwa fella Msanii huyo ambaye maskani ya kundi lao lipo Temeke Mikoroshini amesema hajamshirikisha msanii yoyote katika nyimbo hiyo dhumuni ni kuonyesha uwezo aliokuwa nao katika muziki, Bi Cheka aliweza kufunika katika utoaji zawadi katika Tuzo za KTMA
No comments:
Post a Comment