Wednesday, November 27, 2013
Tuesday, November 26, 2013
FFU WAUTEKA MJI WA BREMEN UJERUMAN
Kamanda Ras Makunja katika gwaride Bremen
Wapenzi na mashabiki wa Ngoma Afrika Band ndani ya Ubersee Museum Bremen
FFU wakishambulia jukwaa
Mo benda mpiga Rhythm gitaa
Glory Mndeke Mwimbaji rapa wa Ngoma Afrika Band
Mpiga bass msaidizi wa FFU kijana Gaiilo
Hili ndilo jengo la Ubersee-Museum Bremen lililotingishwa na FFU
Kamanda Ras Makunja akiwa katika gari maalum akiwasalim wakazi wa Bremen
fan wa ngoma africa band akisainiwa autograph katika CD na Kamanda Ras Makunja
FFU wa Ngoma Africa Band wameliteka tena jiji la Bremen !

Wamevuna umati wa washabiki wa kimataifa
Bremen,Ujerumani,
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU ughaibuni,usiku tarehe 23 Novemba 2013 walifanikiwa kwa mara nyingine tena
kuliteka jiji la Bremen,kule ujerumani. Kiongozi wa bendi hiyo kamanda Ras Makunja wa FFU alikiongoza jukwaani kikosi kazi chake katika jumba la Übersee-Museum akiwa na matumaini kuwa wanaenda kumbuiza washabiki high class wenye adhi ya kibwanyenye lakini mziki ulipoanza mdundo uliwachanganya washabiki na kuwadatisha akili ! kila mmoja alijimwaga uwanjani !
Ngoma Africa Band walijikuta wapo katika kibarua kama kawaida yao cha kushambulia kwa virungu vya muziki na kufanikiwa kuutapanua uwigo wake
kwa kuwanasa washabiki wengi wa kimataifa.
Bendi hiyo maarufu iliyojiimarisha na kujenga himaya ya kimataifa kwa kutumia
muziki wake,meshatajwa mara nyingi kuwa bendi bora ya kiafrika barani ulaya,
bendi ya Ngoma Africa inafanananishwa sawa na kikosi maalumu cha kuzuwia ghasia FFU, pia ina majina mengi ya utani na kiusanii kama vile viumbe wa ajabu "Anunnaki Elien" n.k ambayo imepewa na washabiki au wapenzi wake,kiongozi wake pia ana majina kama vile kamanda Ras Makunja wa FFU,mtawala wa Anunnaki Empire.
Ngoma Africa band wanasikika at www.ngoma-africa.com
Tuesday, November 19, 2013
WAILES YAWA GEREJI BUBU
Njinjo barabara zimekuwa sehemu ya kupakila mmizigo na matengenezo ya magari
Hali ya sasa maeneo ya temeke wailes mtaa, wa ngarambe, mkumba, ngeta na Njinjo ilivyo kwa sasa.
Hali ya sasa maeneo ya temeke wailes mtaa, wa ngarambe, mkumba, ngeta na Njinjo ilivyo kwa sasa.
Sunday, November 3, 2013
HAKIKA YA MTOTO AKRAM SAID BUNGARA
Mr & mrs bungara wakiwa katika picha ya pamoja na mtoto wao Akram
Familia ya said bungara inapenda kutoa shukrani kwa wote waliohudhuria katika tafrija hiyo iliyofanyika nyumbani kwa babu yake mtaa wa mjimwema 'B' Temeke
Said akimkabidhi Akram kwa bibi yake
Familia ya said bungara inapenda kutoa shukrani kwa wote waliohudhuria katika tafrija hiyo iliyofanyika nyumbani kwa babu yake mtaa wa mjimwema 'B' Temeke
Friday, November 1, 2013
UTANUZI WA BARABARA YA KILWA ROAD
Utanuzi wa barabara ya kilwa road ukiendelea, huku baadhi ya majengo yakibomolewa kupisha
utanuzi huo
Maeneo ambayo kwa sasa yashaanza kubomolewa ni barabara ya bandari, gerezani
mpaka kamata
utanuzi huo
Maeneo ambayo kwa sasa yashaanza kubomolewa ni barabara ya bandari, gerezani
mpaka kamata
Subscribe to:
Posts (Atom)