Pages

Tuesday, January 29, 2013

KITUO CHA TEMEKE MWISHO KINAPOGEUKA GEREJI

 Kituo kilichotumia mamilioni ya pesa cha Temeke Mwisho ambacho kwa sasa mafundi wa magari ndio wamekuwa watumizi wakubwa wa kituo hicho


LIKIZO IMEISHA


 Baadhi ya wanafunzi wa awali wakivushwa barabara baada muhula wa kwanza wa shule kufunguliwa

Sunday, January 27, 2013

YANGA YA UTURUKI YAMUINGIZA UWANJANI

 Polisi wakiwa nyuma ya goli wakimzuia mlemavu aliyetaka kuingia uwanjani ili kumwambia kipa wa yanga Ali Mustapha(Bartez )akomae tu ndio lilikuwa neno lake kubwa
 Polisi wakimbeba msobe msobe mlemavu huyo. Sijapenda uchukuaji huu wa Polisi na ukiangalia na hali halisi ya huyu mchukuliwaji


 Kama wanabeba mzigo

 Hawana hata huruma hawa jamaaa



ivute kwa ukaribu hii picha na uone alivokuwa anafanywa

YANGA 3 - TZ PRISONS 1

 Magoli yaliyofungwa na Jerry Tegete (2) na Mbuyi Twitte yaliiwezesha Yanga kuendelea kuongoza ligi ya Vodacom Tanzania kwa tofauti ya pointi tano na timu ya Azam
 Nyomi
 Wachezaji wa Prisons wakifanya mazoezi katika mda wa mapumziko
 VIP
 Wachezaji wa Yanga wakiingia uwanjani


 Jerry Tegete akifunga goli la tatu


 Mwenemti Zaharani Bwax akishangilia timu yake

MADIWANI KIGAMBONI: HAIWEZEKANI KUTUONDOA TEMEKE BILA UTARATIBU MAALUM

kulichukua eneo lote la Kigamboni na kuliondoa chini ya mamlaka ya Manispaa ya Temeke, limezua tafrani baada ya madiwani kutaka kuitisha kikao maalum cha kupinga hatua hiyo na tayari wameanza kukusanya saini za madiwani wanaofikia akidi ili kiitishwe kikao walichokiita kuinusuru Temeke. Tayari nusu ya kura imepatikana.

Hivi karibuni Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka alitangaza kulitwaa eneo la Kigamboni na kuongeza ukubwa wa eneo kwa kuchukua kata nyingine kwa ajili ya uanzishwaji wa jiji la kisasa la Kigamboni. Pia, alitangaza kuanzishwa kwa chombo cha Wakala wa Kuendeleza Mji wa Kigamboni (KDA) ambapo hatua hiyo inaiondoa kutoka Manispaa ya Temeke kiutawala.

Madiwani hasa kutoka Kigamboni wamesema kitendo cha Serikali kuwaondoa kibabe bila kuwashirikisha kimezidisha hofu kwa wananchi wa eneo hilo ambao tangu mradi huo uanze kuandaliwa, wamerudishwa nyuma kimaendeleo.
Tumeshtushwa sana na kauli ya waziri Profesa Tibaijuka, ni hatua ya kibabe iliyochukuliwa bila kutushirikisha sisi madiwani, haiwezekani kutuondoa manispaa ya Temeke bila kufuata utaratibu wa kisheria.
Alisema inashangaza pia kuwa Serikali imeongeza kata nyingine nne --Kisarawe 11, Kimbiji, Somangila na Pembamnazi -- na kuziingiza kwenye mradi bila kutoa taarifa kwa wananchi ili waweze kujadili na kutoa maoni yao. Kata zilizokuwa awali ni Kigamboni, Tungi, Kibada, Mjimwema na Vijibweni.
Tutalazimika kukutana haraka kuona jinsi gani tutaijibu serikali kwa maamuzi yake haya ya ukandamizaji, sisi ni wawakilishi wa wananchi kwa nini wanafanya mambo yao kwa usiri mkubwa na kisha kutupa taarifa kama vile huku hakuna mamlaka inayokubalika.
Chanzo: Nipashe

Thursday, January 17, 2013

USAFI WETU KWENYE KULA TU

 Hapa ni kituo cha mabasi ya K/Koo yanayoenda Temeke hii ndio hali halisi ya sehemu ya abiria wanaongojea mabasi.
 Hii mpaka itakauka hakitolewi kitu

Tuesday, January 15, 2013

WAKONGWE WALIVYOONYESHANA UWEZO KATIKA VIWANJA VYA TCC

 Peter Kabea, Willy Martin, Simon Butte na Bade wakiwa mapumziko




 Shaffih Dauda na Fauz Seif (Campos)

 Nipe majina yao hao
 kushoto: Willy Martin, Simon Butte, na Salvatory Edward



 DUA SAIDI
 DAR CITY
TABORA

Friday, January 11, 2013

ALIPOZIKWA OMARI OMARI


 Katika makaburi ya Mikoroshini Temeke watu walikuwa ni wengi mno na usalama ulikuwa mdogo hukun kwetu tunapjua wenyewe.
 Hapaa watu wakisogea eneo la kaburi
KR na Juma Nature wakisubiri kupokea jeneza la Marehemu Omary Omary

Tuesday, January 8, 2013

HATUA YA PILI KATIKA MSIBA WA OMAR OMAR

 Waombolezaji wakiwa katika msiba huo
 waombolezaji wakifika katika msiba
 Washikaji
 Nash Mpalestina akiwa pamoja na Dully sykes na Ngaluma
 Majadiliano yakiendelea kujua atazikwaje
 Kushoto: Karama, Nash MC, Chief Ramson, Dully na Ngaluma