Pages

Thursday, September 19, 2013

                    DOVYA JOGGING KUFANYA BONANZA LAKUFA MTU NDANI YA TEMEKE


 HABARI NZURI KWA MAKUNDI YOTE YALIO PATA HABARI YA BONANZA LA DOVYA JIGGING J.PILI HI LIKIANZIA MWEMBE YANGA MPAKA VIWANJA VYA GADAFI YOMBO ( MICHEZO NI AFYA  )

Monday, September 9, 2013

TEMEKE YAPOTEZA KWA KINONDONI KOPA KOKA KOLA

 Timu ya wanawake ya wanawake(15) ya Temeke imeweza kufungwa goli 1-0 na kinondoni katika mchezo uliochezwa katika viwanja vya karume Dar es Salaam, mchezo wa kwanza Temeke ilishinda kwa kuwafunga  Zanzibar goli 2-1
 Mchezaji wa Temeke akijaribu kuzuia mpira



Kaptain wa Temeke Fatuma Denca akihojiwa

VIPAJI HIVI VINAISHIA WAPI

 Baadhi ya vijana wakionyesha ufundi wao wa kuchezea baiskeli katika uwanja wa Taifa, je mwisho wa siku hawa vijana wanafaidika nini na mwendelezo wake ukoje?







VITAMBULISHO VYA URAIA-TEMEKE KATA YA MBURANI

 Wafanyakazi wanaohusika na masuala ya upigaji picha wakiwa maeneo ya Temeke kata ya miburani katika zoezi zima la kuhakikisha kila Mtanzania mwenye haki ya kupata kitambulisho hiko anapata
 Wasimamizi wa Mitaa walikuwepo katika kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa
 Mitambo ikiendelea kufanya kazi
 Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika upigaji picha
Magari yanayotumika kubebea baadhi ya vifaa vya