Pages

Thursday, June 27, 2013

MTEMVU AUNGURUMA TEMEKE

Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (aliyevaa miwani katikati), akifuatwa na wananchi baada ya kumaliza mkutano wa kuelezea utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Kata ya Temeke, Dar es Salaam hivi karibuni.

Msaada: Mjengwablog

KWA WALE WA VIDONDA VYA TUMBO


KLINIK YA DYOC YOUTH CENTRE ILIVYOKWENDA

walimu waliohudhuria katika klinik ya kuendeleza vipaji na uhamasishaji wa vijana kupima VVU na Kifua Kikuu katika viwanja vya sigara TCC
Msimamizi wa Klinik Mr. Aluko
Kenny Mwaisabula na Edward Lazaro

Baadhi ya vijana waliohudhuria katika klinik hiyo
Burudani ilikuwepo


Timu za wasichana zilizohudhuria katika klinik
Walimu waliofika katika klini ya kuhamasisha wanamichezo kupima afya zao klinik hii itakuwa inafanyika kila mwezi katika viwanja vya sigara.

KULWA NA DOTO


UKOSEFU WA VIWANJA

 Hali inazidi kuwa mbaya baadhi ya maeneo ya Temeke kutokana na viwanja vingi kuvamiwa na kujengwa magodown na vingine zimekuwa sehemu za kuegeshea malori kinachofanya mpaka watoto kukosa nafasi za kuchezea
 Hapa watoto wakikimbizana barabarani
 wakiwa barabarani wakiendelea na michezo



Vpaji vinapotea kutokana na hakuna sehem maalum za hawa watoto kuonekana au kukusanyika na kuonyesha walichonacho.

OBAMA

Hali imekuwa si shwari Dar kama inavyoonekana baadhi ya ombaomba wakiamishwa baadhi ya mitaa ya katikati ya jiji
Picha: Harakati zangu

Sunday, June 16, 2013

TANZANIA YAPOTEA KWA IVORY COAST












 GOLI LA KUSAWAZISHA LA IVORY COAST LILIPOANZIA
 Nyoni akiruhusu gervinho akipiga pasi ya mwisho
 Yaya Toure akipiga V pasi
 Goli la kusawazisha la Ivory Coast







Goli la nne la Ivory Coast
 Yaya toure akifunga goli la penati
Wachezaji wa Ivory Coast wakishangilia goli

 Goli la THOMAS ULIMWENGU LILIPOANZIA
 Kazimoto akipiga krosi
 Kipa wa Ivory Coast Burry akiruka bila mafanikio
 Thomas Ulimwengu akiuwahi mpira
 Ulimwengu akifunga goli la 2 la Taifa stars
 Hapa ilikuwa full shangwe