Pages

Sunday, February 24, 2013

SIMBA YATEPETA KWA MTIBWA

 Goli lililofungwa na Salvatory Ntebe wa Mtibwa katika dk ya 17 imezidi kuikatisha tama Simba katika kutetetea taji lao. mpaka dk 90 zinaisha Simba 0 - Mtibwa 1








Simba : Juma Kaseja, Nassoro Masoud 'Chollo', Amir Maftah, Juma Nyosso, Komanbil Keita, Shomari Kapombe, Ramadhan Chombo, Mwinyi Kazimoto, Felix Sunzu, Haruna Moshi 'Boban', Haruna Chanongo

Mtibwa : Hussein Sharrif 'Cassilas', Said Mkopi, Issa Rashid, Salvatory Ntebe, Salum Sued, Shaaban Nditi (C), Jamal Mnyate, Rashid Gumbo, Hussein Javu, Shaaban Kisiga, Vincent Barnabas.

UPEPO WA BAHARI

JUMAPILI NJEMA

YANGA 1 vs AZAM 0

 Shabiki wa Yanga akielekea Uwanjani
 Azam F.c
 Yanga
 Hatari katika lango la Yanga




 Yanga wakishangilia goli lililofungwa na Haruna Niyonzaima
 Mahudhurio katika upande wa Yanga

Sunday, February 17, 2013

SIMBA YALALA LIBOLO

 Timu ya Simba ya Dar es Salaam imeanza vibaya mashindano ya Africa baada ya kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Libolo ya Angola




BIASHARA YA VYUMA CHAKAVU

 Moja ya biashara ya zinazofanyika kwa kasi kwa sasa maeneo ya Temeke
Hakitupwi kitu sasa hivi

TAA ZA UHASIBU ZIMEWAKA

 Taa za Uhasibu zimeanza kuwaka ambazo zilikuwa na muda mrefu sana kama miaka miwili zilikuwa hazijawaka
 Mwili ulisisimka baada ya kuona hizi taa zimewaka
Licha ya taa hizi za uhasibu kuwaka lakini zile za Chan`gombe (Machinjoni)bado hazijaanza kufanya kazi

KILINGE CHA TAMADUNI MUZIKI

 TAMADUNI MUZIK

 Wadau wa kilinge cha tamaduni wakisikiliza mijadala tofauti inayokuwepo katika jumamosi ya jana
Michano inaendelea Nash Mc pamoja na Ncha kali

Wednesday, February 13, 2013

BK WA WANAUME HALISI AFARIKI

Mmoja wa wanachama wa kundi la  Wanaume Halisi BK amefariki dunia leo na taratibu zinafanywa nyumbani kwao maeneo ya chang`ombe.
Kadiri muda utakavyokuwa unakwenda tutakuwa tukiwapa taarifa ya ratiba nzima
Mungu ailaze roho ya Marehemu  Mahali Pema

Wednesday, February 6, 2013

TANZANIA YAIDUWAZA KAMERUNI

 Goli pekee lililofungwa dakika ya 85 na Mbwana Samata Kipa wa Taifa stars Juma Kaseja akipata huduma ya kwanza baada ya kugongana na mshambuliaji wa Cameroun.
 wachezaji wa Timu ya Taifa ya Cameroun wakijadilia jambo
 Penati ambayo waliipata Taifa Stars na mpigaji Erasto Nyoni
 Mashambulizi ndani ya lango la Taifa Stars
 Kipa wa Cameroun Effala akipangua penati ya Erasto Nyoni
 Mrisho Ngasa akipiga shuti langoni mwa Cameroun
 Hatari katika lango la Stars
 Kipa wa kameruni Effala akidaka krosi ya Erasto Nyoni
 Assou Ekkoto akiwa na kocha wake Rigobert Song wakitika katika kipindi cha kwanza
 Taifa Starz
 
 kapteni wa kamerun Paul Wome mwenye jezi no.3
 uzalendo muhim
 Ngasa na Ekoto wakigombea mpira
 wachezaji wa akiba wa Taifa Stars
 Beki wa kati wa kameruni aminou Bouba akimchezea rafu mshambuliaji wa Taifa Stars Mrisho Ngasa
 Mbwana Samata akifunga goli la pekee dk ya 85

 wachezaji wa timu ya Tanznia wakishangilia goli
 mpaka mwisho wa mchezo matokea haya
VIKOSI: TAIFA STAZ, Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Shomari Kapombe, Kelvin Yondan, Aggrey Morris, Salum Aboubakar 'Sure Boy', Mrisho Ngassa, Frank Domayo, Mbwana Samatta, Mwinyi Kazimoto na Amri Kiemba

CAMEROON: Effala komguep,assou ekotto,aminou bouba,ngoula,nyom allan,pierre wome nlend,kingue mpondo,bedimo henry,tchami herve,olinga fabrice,aboubak vicent.