Pages

Monday, October 22, 2012

KAMBA YA MBAGALA

 Ukitaka kwenda Mbagala sasa hivi ujiandae maana kma unaenda Morogoro
 Hali inavyokuwa kipindi cha asubuhi na jioni
Hali sio nzuri kwa sasa katika barabara ya Kilwa road ambayo inafanyiwa marekebisho kwa sasa na kumekuwa na foleni kubwa sana katika kipindi hiki cha marekebisho ya barabara hiyo

KEKO-TOROLI, MADUKA.TCC

 Baadhi ya Mitaa ya Keko leo jioni






 Maduka Mawili

TAHARUKI KARIAKOO

 Kila mtu kajifungia dukani kwake


 kweupeeeee
 Mzunguko wa Mt. Uhuru ulivyo
Mitaa ya kariakoo ikiwa haina watu kabisa

Sunday, October 14, 2012

JUMBA F.C YAFUNGWA FAINALI NA GHAZA


 Timu ya mpira wa miguu ya Jumba fc ya Mtoni kwa kindande wameweza kufungwa goli 1-0 na Ghaza Fc katika fainali iliyochezwa katika uwanja wa Temeke Squad.
 Watu wengi walikuwepo katika kushuhudia fainali hiyo.
 Mullah mwenye jezi nyeusi wa Jumba akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Ghaza




 kama kawaida ya Jumba lazima mechi isimame wanakichafua kwanza halafu mechi inaendelea
 hapa kishachafuka baada ya mechi kuisha
Uwanja hautamaniki

NYERERE DAY


Friday, October 12, 2012

HALI ILIVYOKUWA MBAGALA LEO

 Hali haikuwa nzuri leo katika maeneo Mbagala baada ya Waislam kuandamana leo kupinga suala la mtu mmoja kukidharirisha kitabu kitukufu cha Qur-an kwa kukikojolea na kukitemea mate.
Na kingine kilichotokea baadhi ya Polisi walikuja kunikamata na kuniweka katika difenda yao kwa muda wa saa nzima mwishowe eti wakataka niwapoze
 Barabara zikiwa zimefungwa baada ya maandamano hayo
 Wakina Mama waliokuwepo katika maandamano hayo







 Waislam wakiwa katika barabara ya Mbagala kupinga suala la kukojolewa kwa kitabu kitukufu cha Qur-an
 Maeneo yote ya Mbagala
Kikosi cha FFU wakiwa barabarani kutawanya waumini wa Dini ya Kiislam
 Baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislam wakimtaka mtu aliyekojolea Masahafu, huko Mbagala hapa ilikuwa katika kituo cha Polisi cha Zakheim
Wanafunzi wakiwa katika hali mbaya baada ya kuathiriwa na mabomu.