Pages

Wednesday, December 29, 2010

WEZI WA PIKIPIKI WAUAWA TANDIKA


Polisi wakimbeba mmoja wa wezi waliotaka kuiba PikiPiki



watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni wezi wa pikipiki maarufu bodaboda wamepigwa na wananchi wenye hasira kali kupigwa na kufa papo hapo baada ya kutaka kuiba pikipiki. Tukio hilo limetokea maeneo ya Tandika kati ya Mtaa wa Ngomano na Kitunda walioshuhudia tukio hilo walisema watu hao walitokea maeneo ya Tandika Sokoni baada ya tukio hilo polisi walikuja na kuchukua maiti hizo kwa uchunguzi zaidi

Tuesday, December 28, 2010

MIAKA 13 YA USHER FAMILY







 
Usher Family Entertainment  imeazimisha miaka 13 tangu kuanzishwa kundi hilo linaojihusisha na maswala ya burudani pamoja na biashara ya Matangazo P.A. VAN mipago ya mwaka 2011 ni kuboresha shughuli za burudani kuwa karibu na makampuni ambayo yatakuwa kufanya nao shughuli za burudani Tamasha hilo lililofanyika katika Ukumbi wa New CCM kata 14 Temeke Chan`gombe na likisindikizwa na Jahazi Modern Taarab

Sunday, December 26, 2010

YUPI BORA


UCHAGUZI WA SIMBA -TAWI LA WAILES TEMEKE


 
Viongozi wapya wa Simba Sports Club-Tawi la Wailes-Temeke

Wasimamizi wakuu wa Uchaguzi Mzee kitwana na Mzee Mbegu wakifatilia mchakato unavyokwenda

 kutoka kulia M/kiti Saidi Kipayi katikati Makamu Bi Anna Masebo na Bwigane wa TBC

  • Tawi la S.S.C tawi la Wailes Temeke limefanya uchaguzi wake leo kwenye Ukumbi wa Anna Inn. viongozi waliochaguliwa kuendesha tawi hilo ni:-
      • M/Kiti     -     Saidi Kipayi
      • M/M/kiti  -     Anna F. Masebo
      • Katibu     -     Arafa F. Bofu
      • K/Msaidizi  -  Vinta J. S
      • M/Hazina    -   Said Nyambuki
      • M/Hazina 2 -   Vaileth Nyambe
      • Mjumbe Mkuu wa Wilaya - Fortunatus Mang`wela
      • WAJUMBE
      • Jumanne Insama
      • Oliva Boli
      • Beatus Mongele
      • Athuman Lugome
      • Salma Kyula

Thursday, December 23, 2010

AJALI



ajali hii imetokea mitaa ya barabara ya Temeke alikuwa anaonyesha mautundu na mwisho akauvaa nguzo ya umeme wa tanesco.

TMK MABINGWA WA NETIBOLI 2010

Timu ya netiboli ya Temeke imeiadhibu pwani 50-25 na kuibuka mabingwa wapya wa kombe la Taifa katika mchezo mkali na wa kusisimua uliofanyika katika uwanja wa shule ya Filbert Bay kibaha Mkoani Pwani. Robo ya kwanza inamalizika TMK walikuwa wakiongoza kwa 14-5 na mabao yote yalipachikwa na Mwanaidi Hassan na Matalena Mhagama robo ya pili 23-13 hadi mwisho wa mchezo TMK waliibuka Mabingwa kwa Pete 50-25

Friday, December 3, 2010

KITUO CHA MABASI TEMEKE MWISHO



 Hiki kituo kimekuwa kama makumbusho gharama zote zilizofanyika zimejuwa kama bure maana yanapaki magari mabovu na ilikuwa si kwa madhumuni hayo
Kituo cha mafuta kinachotazamana nacho

BUSTANI

Nilibahatika kupita mitaa flani nikakuta bustani hii. Je unaweza kuniambia maua gani haya